Fomu ya maombi kwa ajili ya kupokea matokeo ya mtihani kwa njia ya ujumbe mfupi(SMS)

Jisajili kwa kujaza taarifa sahihi, kisha bofya kitufe kilichoandikwa Tuma maombi.

Maelekezo:Mzazi/mlezi jaza fomu kwa usahihi ili uweze kupokea matokeo ya mitihani ya mwanao kwa njia ya ujumbe mfupi(SMS). Namba ya simu unayojaza kwa ajili ya kutumiwa SMS ianze na 255 mfano ikiwa namba yako ya simu ni 0782210747 iandike 255782210747. Namba ya simu iwe kwa mtindo huu (255XXXXXXXXX).
Tumia mtindo huu: 255XXXXXXXXX